Kwa kawaida binadamu yeyote Yule anapaswa kuwa na maji ya
kutosha mwilini yani asilimia 60% lakini tofauti sana kwa binadamu wengi
wanapokwenda hosipitalini ulazwa kutokana na kukosa maji mwilini nawengine hufa kabisa kutokana na chanzo
kupoteza maji kupitia mkojo, kinyesi, pamoja na jasho. leo nitakuambia umuhimu
wa kwako kunywa maji ili kuondokana na magonjwa mbalimbali yanayokusumbua
maishani mwako.
Ifuatayo ni faida ya kunywa maji katika mwili wa binadamu
·
Husaidia kumeng’enya chakula
Hapa unapaswa kunywa glasi moja ya maji dakika chache tu
kabla haujala kifungua kinywa au kabla haujala chakula cha jioni.
·
Huondoa sumu mwilini
Mara nyingi mtu akinywa maji ya kutosha mara kwa mara
inamrahisishia kuweza viungo vyake vya mwili kufanya kazi vyema. Mfano ya
viungo ni kama vile figo,magoti na viwiko.
·
Husaidia kutibu kichwa
Mtu akipungua maji mwilini mwake usababisha yeye kuumwa na kichwa kwa hiyo inashauriwa anywe maji ya kutosha ili asisumbuliwe na kichwa angalau glasi tatu kila siku.
Husa
Mara nyingi watu ambao wanasumbulia na saratani ya tumbo ni
wale ambao mara zote huwa awanywi maji ya kutosha na ndiyo maana hupeleka wao
kusumbuliwa hivyo inashauriwa kunywa maji kwani maji husaidia suala zima la
usagaji wa chakula na ufanya tumbo kuwa safi na vyema.
SOMA PIA:Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito
·
Huimarisha ngozi
Mara zote mtu anapokunywa maji mengi kila siku angalau litre mbili hufanya ngozi yake kuweza kuwa
nyororo na nadhifu nay a kuvutia
NB:Kwa hiyo unapaswa kunywa maji ya kutosha kila siku ili
uweze kuwa mcheshi mbunifu na hata wale
ambao wanataka kuwa wambamba husaidia sana katika kupungua na hata hupunguza
njaa.
Je wewe unakunywa maji kiasi gani kila siku?